Pixel - Facebook

21:09:37

Country Flag

Jinsi ya kucheza kwa USSD

HOW TO PLAY NORMAL

Huu ndio mchezo marufu zaidi katika michezo ya kubahatisha. Mchezaji wa kubashiri juu ya matokeo yanayo wezekana ya mechi ya mpira wa miguu akijaribu kutabiri ikiwa timu ya nyumbani itashinda au ya ugenini itashinda

HOW TO PLAY HANDICAP

Wakati wakucheza Handicap mchezaji pia ana bashiri matokeo ya uwezekano wa mpira wa miguu,tofauti nikwamba katika hándicap tuna ongeza goli moja kwa timu moja(Kwa kawaida timu dhaifu)kabla ya mpira kuanza.hii imefanywa ili kujaribu kiwango cha kucheza kati ya kushindana chini ya pendwa.

Kwa mfano: Manchester City Vs Fulham (+1)

Hapa hándicap inampa goli moja fulhamu hii inamanisha kuwa fulham ni dhaifu anapewa goli moja la mkononi tangu mwanzo.

  • Kama hakuna goli lolote lililo fugwa (0-0)alama ya mwisho katika hándicap inge kuwa (0-1)na matokeo ya hándicap inge kuwa fulham imeshinda.
  • Kama Manchester City itafunga goli moja(1-0)alama ya mwisho katika hendicap inge kuwa (1-1)na matokeo ya hándicap yange kuwa sare.
  • Kama Manchester city itafunga magoli mawili(2-0)alama ya mwisho katika hándicap ingekuwa kuwa (2-1)namatokeo ya hándicap ingekuwa Machester city imeshinda.
Hitilafu

Kulikuwa na tatizo!

ENDELEA
amana imefanywa

No deposits available

ENDELEA
preload